Gavana wa Mombasa mheshimiwa Hassan Joho leo 18/3/2017 amelazimika kusitisha hotuba yake na kukimbilia usalama baada ya kushambuliwa na wenyeji wa mpeketoni Lamu na mawe na maembe ambayo hayajaiva.

vijana ambao walikuwa wakiimba nyimbo za kusifia mlengo wa Jubilee walisema hawakuwa radhi kusikia hotuba ya Joho.

Gavana Joho amekuwa na majibizano ya hadharani na Rais uhuru Kenyatta katika siku za hivi karibuni

Share.

About Author

Leave A Reply