Mashabiki sugu wa Qwetu radio wameingia kwa mgomo baridi baada ya kutendewa visivyo  na usimamizi wa Qwetu.

Jumatatu tarehe kumi mwezi huu walivamia mitandao ya kijamii na malalamishi baada wasimamizi wa Qwetu radio kususia Egesa villa rhumba night.

Jumamosi ya tarehe nane mwezi huu Qwetu radio iliandaa Rhumba night lakini the head of radio, the head of strategic na Master Mogaka ambaye alikuwa awe MC pamoja na Dokotolo Lawi wakasusia kitu ambacho kiliwaudhi wasikilizaji wa Qwetu pamoja na wafanyi kazi ambao walikuwa wameambiwa rhumba night ni ‘must attend’

Kando na wakuu wa Qwetu kususia Rhumba night, wasikilizaji sugu wa Qwetu wanalalamikia mabadiliko ambayo yamefanyiwa kituo chao cha Rhumba. Katika siku za hivi karibuni wasimamizi wa Qwetu wameanzisha vipindi vipya ambazo zinacheza muziki wa taarab, Reggea na muziki wa kizazi kipya.

Mabadiliko haya yamekuja baada ya Vincent Ateya kuhamia Royal media na kuachia Joseph Maroa kuwa head of radio na Ray Mutai kuwa the head of strategy. Inadaiwa kuwa masibu ya Qwetu radio yaliongezeka baada ya Ateya Kuondoka.

Baadhi ya mambo ambayo wasikilizaji sugu wa Qwetu wanataka yatekelezwe ni Dokotolo Lawi kuongezewa muda, Joseph Maroa kurudishwa jioni huku Vincent Voiyoh akifanya kipindi cha Qwetu asubuhi, Kijana Patpaat kuchukuliwa hatua kwa kukisiwa kuwa aliwaongelesha vibaya alipowambia “kama tamu ramba, kama chungu chorea” miongoni mwa mambo mengine kumi na tatu

Twitter description:Radio Station. Reminisce good old times when music was relaxing,nolstagic and pure bliss.

Logo description:Kenya’s number one Rhumba station

Playing in Studio:Basi jibebe bebe,Asa jibebe bebe

Music intensity:Noise

Rhumba played:10% Geoffrey N. Alberto

Jameni mtu kasema yeye ni pastor akiwa amebeba bhangi mkononi
#IResistMamboMapya

“Slogan na logo lazima ziheshimiwe. Don’t preach water n take wine. We need our old Qweturadio back. #weneedchange
#paatpatmustgo”  Otunga Namande Nicholas

“Punda akichoka huanguka chini akisha anguka chini inamaana kua safari iwezi endelea Mhhhhhhh ilianza ikawa nasasa hivi imekua ni mapuuzo mno usitharau Kimia chetu #weneedchange #weneedchange is either you change or you go we fight the war that we are sure of winning please kindly change the logo to something else #weneedchange” Raass Gido 

“#weneedchange iwafikiee wahusikaa sitataja bt kwa jumla Qwetu Radio # WENEEDCHANGE ,as from now on wards hatubembelezi yeyote sisi hamuwezi kutupelekatu hivoo ata meli inazama lakini nyinyi nayo nayotu basi kwa taarife yenu”  Millah Mmbone Muhonja

 

Share.

About Author

Leave A Reply