Maureen Medza ambaye nyota yake ilianza kungaa akiwa KBC radio taifa na baadae kuhamia QFM NA QTV hadi zilipofungwa alikuwa amehamia Qwetu radio miezi michache iliyopita . Alikuwa akifanya Kipindi cha Qwetu jioni pamoja na Vincent Voiyoh ambacho kwa sasa kinafanywa na June Desina Veil kabla Vincent Voiyoh arudi kutoka leave kuchukua hatamu.

Diblo Kaberia na Peter Kirumba walikuwa wakifanya vuvuzela kipindi cha spoti pamoja na kutangaza mpira. Wawili hao nyota zao zilinga walipokuwa wakifanya kazi radio Jambo.

Qwetu radio imeaanza kusainisha wafanyikazi wake key performance indicator siku za hivi karibuni ambapo mojawapo ya ubora  wa mtu unapimwa na faida anayoletea kampuni kifedha. watu wa kwanza kupigwa shoka ikatokea kuwa Maureen, Diblo na Kirumba. Kando na watatu hao, Titus ambaye alikuwa mweka hazina pia ameangukiwa na shoka. Hata hivyo Peter Kirumba amerudishwa na huenda Diblo kaberia pia akarudishwa.

Diblo na Kirumba sio mara ya kwanza kufutwa na kurudishwa Qwetu.

The head of strategic bwana Ray Mutai pia ameangukiwa na shoka pamoja na ripota wa mombasa Margret Matunda.

Share.

About Author

Leave A Reply