Msanii tajika Daddy Owen ametia guu taaluma ya uanahabari kwa kufanya kipindi cha count down Milele fm.
Katika ujumbe wake twitter, Daddy Owen amesisitiza kuwa atacheza asilimia 85 ya muziki wa Kenya.


Gumzo la muziki wa kenya kutochezwa na vyombo vya kenya limekuwa likiendelea kwa muda wasanii wa Kenya wakilaumu watangazaji wa Kenya kwa kucheza muziki kutoka nje kwa wingi na kuwasau wasanii wa Kenya.

Share.

About Author

Leave A Reply