Timu ya Kenya, Bandari Fc imeanza kinyanganyiro cha Sportpesa super cup kwa matumaini baada ya kuipiga Singida FC bao moja bila. Bao la Bandari limefungwa na William Wadri  dakika ya 68. Kando na kufunga goli, Wadri aliteuliwa kuwa man of the match ambapo amezawadiwa dola mia tano. Ushindi wa bandari umeipatia nafasi ya kuingia nusu fainali.


 

Share.

About Author

Leave A Reply