Showing 1 of 1


Itakumbukwa kuwa Khaligraph alianzisha mojawapo ya midahalo ambayo ilitikisa vyombo vya habari vya kenya kwa madai ya kucheza muziki wa nje ya Kenya na kuwasahau wasanii wa Kenya.
Jones amedokeza katika mtandao wake wa intagram kuwa ataanzisha radio hivi karibuni ambayo itacheza muziki wa Kenya pekee.
Hatua hio imechangamkiwa na wengi baadhi yao wakianza kuomba kazi na mapema.

Nipee nafasi ya kuhost #CountdownKEMusic ama nianzishe kitengo cha Interview ya Wasanii wapya,. #MpyaMjinichepngetich_lilian_kirui

 

View this post on Instagram

 

#respecttheogs

A post shared by Khaligraph jones (@khaligraph_jones) on

Share.

About Author

Leave A Reply