Timu ya Kariobangi Sharks ilitinga nusu fainali baada ya kuilaza Yanga mabao matati kwa mawili. Mabao ya Yanga. Sharks, waliofanikiwa kuingia nusu fainali sawia na timu nyingine ya Kenya, Bandari Fc ambao waliipiga Singida FC bao moja kwa bila.
Timu nyingine za Kenya zilizosalia kujua hatima zao ni pamoja na Gor Mahia na AFC Leopards.
Gor watachuana na Mbao FC huku AFC wakichuana na Simba katika michuana ambayo itaamua kama wataingia nusu fainali.

Share.

About Author

Leave A Reply