Timu mbili maarufu za Kenya AFC leaopard na Gor Mahia zimetemwa nje ya sport pesa super cup katika michuano inayoendelea Tanzania.

Gor walitoka sare na timu ya Mbao na kutolewa kwa matuta ya penalti baada ya kupigwa 4-3 nao AFC Leopards wakipigwa magoli mawili kwa moja na timu ya Simba.

Share.

About Author

Leave A Reply