Wengi wanamfahamu ama kwa usanii, ujasiriamali au kwa sababu hasiti kugonga vichwa vya habari haswa kwa mitindo yake ya mavazi na kusakata densi baadhi ya watu wakimwona kama ambaye anaenda kinyume na maadili ya kiafrika lakini Esther Akoth si mwepesi wa kujali wanachokisema watu.

Yeye ni baadhi ya watu wachache ambao wana maadui, ndio, lakini ama umpende au usimpende lazima umfuatilia kwa kuwa haepukiki. Kitendo chake cha hivi karibuni cha kuwafaa wahanga wa njaa Turkana kimegusa nyoyo za wengi hata baadhi ya watu ambao zamani wakiwa hawampendi wakitangaza kumpenda tangu hapo.

Tumekusanya baadhi ya maoni ya watu.

Phi CJIf u cant admire akothee lifestyle then u are a fool!go go go Mama!Turkana need u!!penda wewe sana!wewe pia ni mtu!

Maureen AtienoPosted 9minutes ago 1.1k likes akoth for president a Queen iron Lady keep the heart dear, look at those smiles happiness

Esther Kavindu Look at the smiles you are putting on their faces.. Mungu akubariki Akothee ??

Mc Obiero Nyunja Akothee i like you your such a kind hearted woman. Those who normally criticize you where are they? At this critical time when a section of kenyans are dying because of hunger, they should now come out and join you in Turkana rather than focussing on minor issues affecting just an individual at the expense of the national crisis.Akothee you being a leader and i dont know what your still waiting for. Your actions show that you are worth and able to lead.

 

Share.

About Author

Leave A Reply