Tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa NCIC imemulika kaunti tisa humu nchini ambazo zinakisiwa kutoa matamshi ya chuki. kaunti hizo ni pamoja na Kiambu, Kilifi, Uasingishu, Elgeiyo marakwet, Baringo,  Nakuru, Nyeri na kakamega.

Tume hio imepeleka maofisa wake katika kaunti hizo kufanya uchunguzi wa kina.

Share.

About Author

Leave A Reply