Mwandishi tajika ambaye pia ni mwanaharakati wa kutetea haki za wapenzi wa jinsia moja Bivanyanga Wainaina amega dunia. Taaria za kifo chake zimedhibitishwa na nduguye james wainaina.

Binyavanga ni miongoni mwa wakenya wa kwanza kutangaza hadharani kuwa ni shoga.

Mwaka wa 2002 Binyavanga Wainaniana alishinda tuzo la Canine kwa uandishi wa afrika.

Ameaga dunia siku mbili  kabla ya mahakama nchini kutoa uamuzi wa iwapo itafutilia mbali sheria  ambazo zinaharamisha haki za wapenzi wa jinsia moja nchini Kenya.

Share.

About Author

Leave A Reply