Gavana wa Nairobi Mike Sonko amewarai wabunge vijana wakiongozwa na akina Jaguar Kanyi, Babu Owino, Mohammed Ali na vijana wengineo wengi bungeni kuendeleza msaada uliokuwa umependekezwa  na marehemu Ken Okoth.

Mike amesema haya katika hafla ya kuomboleza Ken ambayo imefanyika Moi Girls katika eneo bunge la Kibra. Kando na kuhalalishwa kwa bhangi, Mike amesema kuwa yuko radhi kuwasaidia watoto wa Ken ambao  walizaliwa nje ya ndoa. Katika hafla hio pia, Mike amejitolea kutoa mabasi kumi na tano ambayo yatasafirisha waombolezaji hadi atakapozikwa Ken Okoth.

tazama pia Kitendawili kigumu chagubika atakapozikwa Ken Okoth

Share.

About Author

Leave A Reply