Mabingwa watetezo wa English Premiere League Manchester city wameanza msimu wa wa 2019/2020 kwa kishindo kwa kupiga West Ham magoli matano bila jibu. Raheem Sterling amefunga magoli matatu huku Gabriel Jesus na Sergio Aguero wakifunga goli moja moja.

Kwa sasa Manchester city wanaongoza wakifwatwa na Liverpool ambao walishinda magoli manne sifuri wakati wakicheza na Norwich City katika mechi iliyochezwa Ijumaa usiku.

 

Share.

About Author

Leave A Reply