Baada ya malalamishi kutoka kwa wakulima kutokana na mazao kukosa soko kutokana na kuagizwa kwa bidhaa kutoka kwa mataifa ya nje bila mpangilio maalum, hatimaye Rais Kenyatta amempiga kalamu waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri. Mwingine ambaye amepigwa kalamu ni Aden Mohammed ambaye alikuwa akisimamia wizara ya jumuiya ya afrika mashariki.

Katika hotuba yake kwa taifa kutoka Ikulu ya Mombasa, Rais Uhuru Kenyatta alitangaza mabadiliko katika baraza lake la mawaziri na nafasi ya Kiunjuri kuchukuliwa na Peter Munya ambaye alikuwa akishikilia Wizara ya Biashara na Viwanda.

Share.

About Author

Leave A Reply