Kenya imedhibitisha kuwa mkenya wa kwanza ameugua virusi vya Corona.

Taarifa hizio zimedhibitishwa na waziri wa afya Mutahi Kagwe katika kikao na wanahabari. Mutahi ameeleza kuwa mwathiriwa ambaye ni mwanamke wa miaka ishirini na saba alikuwa amesafiri kutoka Marekani tarehe tano Marchi mwaka huu. Ameendelea kusema kuwa serikali imesitisha kwa muda mikutano yote ya hadhara, hata hivyo shule zitabaki kama zimefunguliwa japo hakutakuwa na shule kutembelea shule nyingine.

Share.

About Author

Leave A Reply