Hatunaye duniani Prof. Ken Walibora.

Mtunzi huyo wa riwaya ya siku njema miongoni mwa riwaya nyingi nyinginezo na kazi mbalimbali za fasihi alifariki ijumaa ya tarehe kumi mwezi wa nne mwaka huu Landhies Road, Nairobi, karibu na kituo cha mabasi cha country bus. Inaaminika kuwa aligongwa na matatu akivuka barabara.

Hadi taarifa hizi kuchapishwa polisi bado walikuwa wakitafuta gari lake.

Mwili wake umelazwa Kenyatta National Hospital mortuary.

Ili kupata mahojiano ya kipekee tuliomfanyia Ken Walibora kuhusu maisha yake miongoni mwa mambo mengi mengineo bonyeza hapa.

Lala pema palipo na wema Prof Ken Walibora.

Share.

About Author

Leave A Reply