Browsing: Ushairi

Ushairi
KWAHERINI
By

Nimeshakata tamaa, Na nyota isiongaa, Ndugu zangu na jamaa, Wananiona kinyaa, Nguo zangu mechakaa, Zote rangi ya makaa, Naona bora kupaa, Mbinguni nende kukaa. …